USAFI KWA MWANAMKE HUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA
Usafi kwa mwanamke ni kitu cha msingi sana kwa sababu usafi hupelekea wanaume tuwe na hamu ya tendo la ndoa mara kwa Mara pale unapokutana na mwanamke msafi yani anayejua kujiswafi kila kona ya mwili wake.
Maana kila tukumbukapo ule usafi wa ndani hakika hamu nayo huongezeka na kutamani zaidi. Hata kama uko kazini utakuta unatamani masaa yaende fasta urudi home.
Pia usafi kwa mwanamke hupunguza harakati za kutafuta mchepuko kiasi fulani kwa sababu hakuna mwanaume anafurahi kuwa na mwanamke mchafu.
Kwa uzoefu niliyonayo wanaume huwa tunapenda sana wanawake wanaopenda usafi na siyo wanawake wachafu.
Mwanamke muda wote inabidi uwe msafi siyo unakaa siku nzima bila hata kujiswafi ile mijanaba ya usiku. Kiukweli hii tabia huwa inakera sana.
Inabidi uwe msafi Kwa sababu mna sehemu nyingi zinazohitaji uangalizi na usafi wa hali ya juu mfano.
1.Kwapa- nyoa ule uchafu halafu safisha na ondoa ule weusi weusi.
2.Mtaroni-Hapa unakuta wengine pamepauka hatari hivyo hakikisha unapaweka safi
3.Jicho linunalo muda wote( Tigo) - hii ni sehemu ya kuwa makini sana hakikisha hakuna mabaki mabaki. Ukiweza itakuongezea credit kwa mwenzako pindi mkipeana mambo hasa kwa dogy style.
4.Uke- hakikisha hakuna mtindi mtindi mule ndani maana huwa unakera sana na kabla ya tendo kajiswafi na ujikague vizuri. Pia hakikisha maeneo yanayozunguka hiyo kitu yako safi yani hakuna vichaka.
5.Kanga wiki- hapa ni wale wanawake wanaojifunga kanga hiyo hiyo wiki nzima bila kuonja maji nalo ni tatizo maana mwisho wa siku huwa inatoa harufu kali sana.
6.Kinywa- kinywa nacho kinahitaji usafi wa hali ya juu. Pia usisahau kuondoa zile rangi mnazopaka midomoni.
Kitu kingine ni pale umetoka kwenye mihangaiko yako unafika tu nyumbani unawasha feni unapanda kitandani ukisingizia kuwa umechoka utaoga badae mwisho wa siku usingizi unakupitia.
Hii husababisha kero kubwa sana kwa mwenzako na kamwe huwezi sikia anakwambia geukia huku au hata kukupapasa akiashiria kuhitaji haki yake ya ndoa.
No comments: